TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday 19 March 2012

Vijana wanaosaka mkwanja

Vijana hawa wanasaka maisha katika jumba la sanaa (THT), wanafanya mazoezi ya kuimba ili baadaye kuweza kutengeneza mkwanja. Kwa sasa inaelezwa kuwa kila nyumba ina msanii mmoja, wewe chunguza utagundua vipaji vingi.
















                                                                                         

No comments:

Post a Comment