TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 27 March 2012

Wananchi wa Kwembe Mloganzila wadai walipwe fidia ili wapishe ujenzi wa Chuo cha Tiba Muhimbili

Kushoto anayeonekana ni Cosmas Mbepera Katibu wa Kamati ya wananchi ya kudai fidia ya ardhi ya Kwembe Mloganzila, wa pili kushoto ni Fredrick Sichone Mwenyekiti wa Kamati hiyo ma anayezungumza ni Mohamed Jawewa ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo wakizungumza na waandishi wa Habari hawapo pichani katika ukumbi wa Habari Maelezo. Wananchi hao wanadai Fidia ili waweze kupisha ujenzi wa Chuo Cha Muhimbili


                                                                                      

No comments:

Post a Comment