| Halima upande wa kulia, kushoto ni Rose na Rafiki yao wakiwakilisha siku ya bonanza la waandishi wa habari Msasani Beach, unaona mavituzi ya kufa mtu mezaniiii, tabasamu lazima litoke |
| Wafanyakazi wa TSN wakiwa bize wakifuatilia kwa makini jinsi sherehe zinavyokwenda katika Bonanza la waandishi lililoandaliwa na Taswa jijini Dar es Salaam |
| Bado tulikuwepo katika pozi la aina yake Daa, wengine sijui kwanini hatuna hata kicheko utafikiri tumelezimishwa |
No comments:
Post a Comment