TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 13 September 2012

Jengo jipya la Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali lazinduliwa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akikata Utepe kuashiria Ufunguzi wa Jengo Jipya la Afisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali huko Maisara Mjini Zanzibar

No comments:

Post a Comment