TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday, 24 April 2013

FA hatimaye yamfungia Suarez kucheza mechi 10

Luis Suarez and Branislav Invanovic
 Chama cha soka nchini Uingereza, FA hatimaye kimeamua kumfungia mechi 10  mshambuliaji wa Liverpool Luis Suarez kwa kitendo chake cha kumng'ata beki wa Chelsea Branislav Ivanovic katika mchezo wa jumapili baina ya Liverpool na Chelsea,mchezo uliomalizika kwa sare ya 2-2.

Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka  26  baada ya kumng'ata beki huyo wa Chelsea aliomba msamaha mashabiki siku ya Jumatatu.

Suarez ambaye ni raia wa Uruguay amekubaliana na adhabu hiyo, lakini alitaka adhabu hiyo angefungiwa michezo 3.

 
 An FA statement read:  "A three-person independent regulatory commission today upheld the FA's claim that a suspension of three matches was clearly insufficient and the player will serve a further seven first-team matches in addition to the standard three. The suspension begins with immediate effect.

"The Liverpool forward had accepted a charge of violent conduct but had denied the FA's claim that the standard three-match sanction was insufficient for the offence.

"The incident was not seen by the match officials and has therefore been retrospectively reviewed.
"Suarez has until midday on Friday 26 April to appeal [against] the additional suspension, above the standard three matches."
Source:BBC News

No comments:

Post a Comment