TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 21 May 2013

Timu ya vijana wa Tanzania walioshiriki mashindano ya kuogelea Nairobi yang'ara


Washindi  wa Tanzania waliojizolea zawadi mbalimbali  katika mashindano ya vijana ya kuogelea  yaliyofanyika jijini Nairobi, Kenya  mwishoni mwa wiki wakiwa na Makocha wao  (kushoto) ni Mohamed AbdulAzizi, Alex  Mwaipasi (katikati) na Kanisi Mabebe(kulia)(Na Mpiga picha  wetu)


Sonia Tumiotto(Katikati mwenye bendera) amekuwa mshindi wa kwanza  kwa vijana wenye umri wa miaka 11 katika mashindano ya kuogelea yaliyofanyika jijini Nairobi, Kenya mwishoni mwa wiki  akiwa na washindi wengine wa Kenya na Uganda. (Na  Mpigapicha wetu)

No comments:

Post a Comment