TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Sunday, 9 June 2013

Shida ya Maji kata ya Kishapu

Baadhi ya wakazi wa Kata ya Kishapu wakichota maji kwenye mto.
Harakati za utafutaji maji

Haya ni maji yaliotuwama, si salama lakini wakazi hulazimika kuyatumia kutokana na shida ya huduma hiyo

                            Heka heka za utafutaji maji eneo la Mto Tungu

Mashimo haya ni visima vya muda ambavyo kwa sasa vimekauka katika eneo la Mto Tungu


Mchuuzi wa maji Kijiji cha Mhunze akichota maji kwaajili ya kuuza. Dumu moja huuza wastani wa sh 500
Mmoja wa waandishi wa habari kutoka kituo cha Clouds FM, Aziz Kindamba akinywa maji kwenye kisima cha muda
Shida ya Maji Kata ya Kishapu haipo kwa wananchi pekee hata wanyama. Hapa nao wanapita kunywa maji baada ya malisho

Picha zote na Joachim Mushi wa The Habari.com

No comments:

Post a Comment