TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday 6 September 2013

Hatimaye Azonto atua kwa ajili ya shoo yake ya Jumamosi

Msanii wa muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto (Katikati) akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani.
Msanii wa muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto akicheza muziki pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake, msanii huyo ataimba kesho katika viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii.

Msanii wa muziki kutoka nchini Ghana mwenye makazi yake nchini Uingereza Fuse ODG, Azonto akicheza muziki pamoja na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kwa mkutano wake, msanii huyo ataaimba kesho katika viwanja vya Chuo Cha Ustawi wa Jamii.

No comments:

Post a Comment