TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 3 September 2013

Tamasha la Mtandao wa Jinsia Tanzania

Mkurugenzi Mtendaji wa TGNP Ussu Mallya akitoa mada kwenye tamasha la kusherehekea miaka 20 ya harakati za ukombozi wa mwanamke kimapinduzi. Kulia ni Mkurugenzi wa Mfuko wa wanawake Tanzania Mary Rusimbi.

Baadhi ya wanaharakati wakifuatilia tamasha la Jinsia la kusherehekea miaka 20 ya harakati za ukombozi wa mwanamke kimapinduzi

No comments:

Post a Comment