TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 26 November 2013

Chief Promosheni kutoa mafunzo kwa wasanii leo

SONY DSCMkurugenzi wa kampuni  ya burudani ya  Chief  Promoters,  Amon Muoga (watatu kulia), akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani), kwenye ukumbi wa Idara ya habari (MAELEZO),kuhusiana na mafunzo ya siku moja yatakayo yakutanisha zaidi ya wasanii wa muziki 200. (kulia kwake) ,Mkuu wa mipango wa uchangiaji wa Hiari (PSPF),Matilda Nyallu,akifuatiwa na Msanii wa muziki,Chritoms Mwingira (Dj Snox), Msanii wa muziki, Jumanne Omary (Jb Mkuu wa Majaji).

No comments:

Post a Comment