TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 16 December 2013

Manchester City uso kwa uso na Barcelona, Arsenal ngoma nzito

http://news.bbcimg.co.uk/media/images/71752000/jpg/_71752737_managers624.jpg
 
Hii ndiyo ratiba ya Ligi ya Mabingwa Ulaya
Manchester City itakutana uso kwa uso na  Barcelona katika mzunguko wa pili wa 16 Ligi ya Mabingwa Ulaya. Wakati huo, Asernal itakutana na Bayern Munich.

 Mzunguko wa pili utaanza kama ifuatavyo
  • Last-16 ties: 18/19/25/26 February (first legs) and 11/12/18/19 March (second legs)
  • Robo Fainali : 1/2 April and 8/9 April
  • Nusu Fainali : 22/23 April and 29/30 April
  • Fainali: 24 May
Bingwa wa mwaka 2012 Chelsea, itakutana na Galatasaray na  Manchester United itakutana na t Greek side Olympiakos. 

 AC Milan uso kwa uso na  Atletico Madrid, Bayer Leverkusen Vs St Paris St-Germain, Schalke na  Real Madrid na  Zenit St Petersburg itakutana na mshindi wa pili wa mwaka jana  Borussia Dortmund. 

Chelsea na Manchester United wana faida kwa kuwa wataanzia nyumbani baada ya kushinda kwenye makundi yao. Wakati Manchester City na Arsenal watasaifiri ugenini.

City walimshinda  Bayern Munich 3-2 katika kundi  D la mchezo uliopita.

Historia ya mechi ya Asernal dhidi ya Bayern
5 Dec 2000 - Arsenal 2 Bayern 2
14 Mar 2001 - Bayern 1 Arsenal 0
22 Feb 2005 - Bayern 3 Arsenal 1
9 Mar 2005 - Arsenal 1 Bayern 0
19 Feb 2013 - Arsenal 1 Bayern 3
13 Marc 2013 - Bayern 0 Arsenal 2 

Chanzo. Bbc Sports 

No comments:

Post a Comment