TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 5 December 2013

Nelson Mandela katika picha enzi za uhai wakeMandela
Rais wa Zamani wa Marekani Bill Clitoni (Kulia) akiwa na Nelson Mandela alipomtembelea nyumbani kwake Qunu kwa ajili ya kumjulia hali siku ya kuzaliwa kwake Julai 17, 2012
Mandela
Mandela akiwa na Mke wake wa zamani Winnie Mandela baada ya kutoka gerezani alipokuwa akitumikia kifungo cha miaka 27
Mandela
Nelson Mandela akimwonyesha njia Princess Diana baada ya kumtembelea Cape Town March 17, 1997
Nelson Mandela
Mandela wakati huo akiwa kama Kiongozi wa Chama cha  Natioanal African Congress akiwa katika pozi la mapambano
Mandela
Nelson Mandela akiwa na mke wake Grace Machel wakifurahia jambo (Picha zote kwa mujibu wa mtandao wa Yahoo)

No comments:

Post a Comment