TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday 5 December 2013

Stamico na Tanzania One zaingia ubia wa kuchimba madini

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe  wakibadilishana hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (kushoto) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia )  Balozi Ami Mpungwe  wakisaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani. Sherehe hizo zilifanyika jana mjini Dar es salaam.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati na Madini Eliakim Maswi (kushoto)  akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari jana (leo) mjini Dar es salaam wakati wa halfa fupi ya kusaini hati za mkataba wa ubia  kuhusu uchimbaji  wa pamoja wa madini ya Tanzanite katika kitalu c kwenye eneo la Mererani kati ya Serikali kupitia Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na TanzaniaOne . Wengine ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)Gray Mwakalukwa (katikati) na  Mwenyekiti wa  Kampuni ya Madini ya TanzaniaOne(kulia ) Balozi Ami Mpungwe.

No comments:

Post a Comment