TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 30 November 2015

Michuano ya Mitumbwi Mwanza yaiva

Meneja Mauzo na Usambazaji waKampuniya Bia Tanzania (TBL) Kanda yaZiwa, Godwin Zakaria (kulia) akimkabidhi Mwenyekiti wa Chama cha MitumbwikandayaZiwa, Richard Mgabo, moja ya vikombe vitakavyoshindaniwa katika mashindano ya  mbio za Mitumbwi  wakati wa uzinduzi huo uliofanyika jijini Mwanza mwishonimwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager

Mwenyekiti  wamitumbwi Kanda yaZiwa, Richard  Mgambo (katikati), akinyanyua juu moja ya kikombe mara baada ya kukabidhiwa na Meneja Mauzo na Usambazaji wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL) Kanda yaZiwa, Godwin Zakaria ( kulia) atakalokabidhiwa bingwa wa mbio za makasia mara baada ya uzinduzi wa mashindano hayo yaliyofanyika TBL Mwanza mwishoni mwa wiki kwa udhamini wa bia ya Balimi Extra Lager. Wengine ni viongozi wa mikoa katika maeneo ambako fainali zitafanyikaNo comments:

Post a Comment