TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday 30 April 2012

MBIO ZA MWENGE KUZINDULIWA MBEYA MEI 11

Mkurugenzi wa Vijana Kissui Stivin Kissui (katikati), Mratibu wa Sensa ya watu na Makazi wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Irenius Royobya (wa kwanza kulia) na Afisa Mhamasishaji sensa ya watu na Makazi kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu Said Ameir (wa mwisho kushoto) wakizungumza na waandishi wa Habari katika Ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo kuhusiana na Uzinduzi wa mbio za Mwenge utakaofanyika Mbeya Mei 11, 2012.

No comments:

Post a Comment