TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday 30 April 2012

NYUMBA HII IMEGEUZWA KUWA JALALA

Siku hizi nyumba zikijengwa na ukaiacha kama gofu kwa muda mrefu zinageuzwa kuwa jalala la kutupia takataka za kila aina, na vijana wavuta bangi ndio hutumia kujificha na kuvuta. Nyumba unayoiona ni moja ya nyumba katika mtaa ninaokaa ambayo inaonekana imetekelezwa na hivyo ukiingia kwenye vyumba utakutana na takataka. Watu wamegeuza ndio jalala.



No comments:

Post a Comment