TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 24 April 2012

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO


UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA  JUMATANO, AMBAPO WIKI HII JULIANA MPANDUJI, COTWU ATAWASILISHA:
MADA: Haki ya Ajira Kwa Wanawake Katika Mchakato wa Katiba

Lini: Jumatano Tarehe 25 Aprili, 2012

Muda: Saa 09:00 Mchana - 11:00 Jioni

MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA


Gladness Hemedi Munuo
GEMSAT Country Facilitator
Tel: +255754285701/786 285701/655 285701

No comments:

Post a Comment