TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday 23 April 2012

MSHINDI WA MILLION 10 VODACOM M-PESA HUYU HAPA

Mshindi wa Pili wa droo kubwa ya mwezi ya promosheni ya M-PESA Revocatus Mkama akihesabu pesa zake mara baada ya kukabidhiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Rene Meza katikati. Kushoto ni Ofisa Mkuu wa Mahusiano na Mauzo kwa wateja wakubwa Mwamvita Makamba

No comments:

Post a Comment