TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 2 May 2012

MENGI APATA TUZO YA AMANI KATIKA BIASHARA

Rais wa Chama cha wenye Viwanda , Biashara na Kilimo (TCCIA) Aloyce Mwamanga (wa pili kulia) na Mkurugenzi Mtendaji wa chama hicho Daniel Machemba wakizungumzia kuhusu mshindi wa tuzo ya Amani katika biashara duniani ambaye ni Dk. Reginald Mengi na kuwataka wafanyabiashara wengine kuiga mfano wa Dk. Mengi.
Kwa mujibu wa Rais huyo ni kwamba Dk. Mengi amekuwa ni wa tatu Afrika wakati duniani aliibuka na ushindi huo kati ya wafanyabishara wakubwa saba waliokuwa wakipambanishwa. Mengi amepata Tuzo hiyo kutokana na juhudi zake za kuisaidia jamii.

No comments:

Post a Comment