TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 2 May 2012

Uzinduzi wa Mwongozo wa vyombo vya habari kuzinduliwa jijini Dar es Salaam

Mshauri wa  Africa Media Initiative Wangethi Mwangi (wa kwanza kushoto), Mwenyekiti wa Chama Cha Wamiliki MOAT(katikati) Theofil Makunga na Katibu Mkuu wa MOAT Henry Muanika wakizungumza  na waandishi wa Habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa mwongozo wa vyombo vya habari Africa utakaofanyika Mei 3,2012.

No comments:

Post a Comment