TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday 24 May 2012

MNYIKA ASHINDA KESI YA UCHAGUZI

Mbunge wa Jimbo la Ubungo John Mnyika ameshinda kesi iliyokuwa ikimkabili kuhusiana na ushindi wake kwenye uchaguzi mkuu wa 2010 uliompatia ushindi. Hukumu imetolewa leo mahakama kuu ya Tanzania

No comments:

Post a Comment