TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 15 May 2012

Semina za Jinsia na Maendeleo

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO
 UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII TAHURIFO  WATAWASILISHA
MADA: Changamoto za Sheria Kandamizi  Kwa Wanawake Katika Muktadha wa Katiba Mpya.   
Lini: Jumatano Tarehe 16 Mei, 2012
Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni
MAHALI:  Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni  
WOTE MNAKARIBISHWA

No comments:

Post a Comment