TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 20 June 2012

Drogba asaini kuichezea Club ya Shanghai Shenhua


Aliyekuwa Striker wa  Chelsea Didier Drogba hatimaye amesaini mkataba wa kuichezea club ya China Shanghai Shenhua kwa miaka miwili na nusu.
Mchezaji huyo atajiunga kucheza katika timu hiyo ambapo ataungana na mchezji mwingine wa Kiafrika Nicolas Anelka.
Drogba, mwenye umri wa miaka  34, alisema " Nilifikiria ofa zote nilizozipata katika wiki chache zilizopita lakini Shaghai Shenshua ndio timu niliyoichagua,”
Drogba anatarajiwa kucheza mchezo wake wa kwanza akiwa na timu hiyo itakayochuana na Manster United Julai 25, mwaka huu.
Drogba alijiunga Chelsea akitokea Marseille kwa Euro 24m mwaka 200

No comments:

Post a Comment