TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 27 August 2012

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII FESTA ANDREW ATAWASILISHA

MADA:Bajeti ya Afya ya 2012/13: Je, Inalenga Kuondoa Changamoto za Huduma ya Afya Nchini? Lini: Jumatano Tarehe 29/8//2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA

 

No comments:

Post a Comment