TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday, 23 January 2013

Waziri Mkuu atembelea Ofisi ya Taifa ya Takwimu

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akipata maelezo kuhusu matumizi ya ramani katika upataji  na ukusanyaji wa takwimu mbalimbali zinazotumiwa katika masuala mbalimbali nchini kutoka kwa Kaimu Meneja wa Idara ya Mbinu  za Kitakwimu, Viwango na Uratibu Bw. Emilian Karugendo


Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu Dkt. Albina Chuwa (kulia)akimfafanulia jambo  Waziri Mkuu Mizengo Pinda (katikati)  kuhusu takwimu za Kilimo na uchumi. Kushoto kwa waziri Mkuu ni Waziri wa Fedha Dkt. William Mgimwa.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia)  akitazama takwimu mbalimbali alipotembelea kitengo cha ramani  akiwa na Waziri wa Fedha na Uchumi Dkt. William Mgimwa (kushoto)


No comments:

Post a Comment