TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday 4 April 2013

Afanya mapenzi na Ambulensi


Akamatwa akifanya mapenzi na Ambulensi

Raia mmoja wa Uingereza akamatwa akifanya mapenzi na Ambulensi.. hii ni Baada ya ya Bwana Callum Ward mwenye umri wa miaka 25 kujipasha mtotisha kwa kula njugu karanga. Baada ya kepelekwa mahakamani bwana Callum Ward atozwa faini ya Pauni 60(£60) na kepwa adhabu ya kufanya kazi katika eneo la umma bure kwa miezi sita.

Na huko Scotland sikitambo sana bwana mmoja alikamatwa uchochoroni akifanya mapenzi na baiskeli yake. Hata hivyo magazeti ya Uingereza likiwemo gazeti la Telegraph hayakueleza alikuwa akifanya mapenzi vipi na baiskeli hiyo.

Chanzo: BBC Swahili

No comments:

Post a Comment