TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Sunday, 26 May 2013

Chama cha kuogelea Tanzania(TSA) chawapongeza vijana 22 waliopata medali Nairobi

Katibu mkuu wa chama cha kuogelea Tanzania (TSA), Noel Kiunsi (mwenye nguo za njano) akimkabidhi kombe la ubingwa wa michuano ya Afrika Mashariki mjumbe wa baraza la Michezo Taifa (BMT), Timoth Mganga  ililotwaa timu ya Tanzania kwenye mashindano hayo jijini Nairobi. (anayeonekana kushoto ni Katibu Mkuu Msaidizi wa TSA Ramadhan Namkoveka.


Muogeleaji wa Tanzania Tessa Francis Jones akipokea kikombe kutoka kwa mjumbe wa Baraza la Michezo la Taifa (MBT), Timoth Mganga baada ya kufanya vizuri na kuwa bingwa kwa waogeleaji wa umri wa miaka 9 kwenye mashindano ya Afrika hivi karibuni, Tanzania ilitwaa medali 22

No comments:

Post a Comment