TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Saturday, 20 July 2013

Waziri Fenella atembelea vijana wa kikundi cha mambo safi

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara akipokea zawadi ya Sabuni ya maji iliyotengezwa na wanakikundi cha Mambo Safi anayemkabidhi zawadi hiyo ni Bibi Anna Ludovick

Mmoja wa walezi wa kikundi cha Mambo Safi Bw. Edwin Mutayoba kushoto akimueleleza Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara ubunifu alioufanya kuhusu kilimo kuweza kuinua kiapato cha vijana kama watawezeshwa na kusimamiwa.Kushoto ni Katibu wa CCM Kata ya Kimara Baruti Anthony Gausi.Ubunifu huo unafanya matumizi ya ardhi kuwa na thamani na huitaji eneo kubwa hili kuwekeza katika kilimo na viwanda.
Baadhi ya wanakikundi cha Mambo Safi wakicheza ngoma ijulikanyo kwa jina la Funda Mwana ikiwa ni kuonyesha kazi zao kwa Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt Fenella Mukangara alipowatembelea ofisini kwao jana jijini Dar es Salaam.No comments:

Post a Comment