TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday, 16 August 2013

BFT yapewa msaada wa vifaa vya michezo kwa ajili ya timu ya taifa

Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT) Makore Mashaga (Kushoto) na Mkurugenzi  wa shule za St. Mary’s na mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale wakiangalia vifaa vilivyotolewa kwa ajili ya timu ya taifa ya ndondi

Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT) Makore Mashaga (Kushoto) akipokea vifaa vya ndondi kwa ajili ya timu ya taifa kutoka kwa Mkurugenzi  wa shule za St. Mary’s na mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale


Katibu Mkuu wa Shirikisho la ngumi za ridhaa(BFT) Makore Mashaga (Kushoto) akipimana na Mkurugenzi  wa shule za St. Mary’s na mmiliki wa hoteli ya Palm iliyoko Bagamoyo Mutta Rwakatale baada ya kukabidhiana vifaa

No comments:

Post a Comment