TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 19 August 2013

Wasanii wanaotumia jina moja la kisanii

 Wote ni waigizaji wa filamu wenye majina ya kisanii yanayofanana kiasi kwamba huzua utata mtaani. Mwenye Magongo ni Zaitun Kibwana maarufu kwa jina la Batuli ambaye aliumia mguu hivi karibuni wakati akiwa anacheza filamu ya location na Kulia ni Yabnesh Yusuph maarufu kama Batuli.

Zaituni anadai yeye ni wa kwanza kuanza kutumia jina hilo, na Yabnesh anadai kuwa hamfahamu Zaitun na wote ni waigizaji. Kazi ipo!

No comments:

Post a Comment