TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday, 25 September 2013

Uzinduzi wa kitabu cha mwongozo wa utawala bora

Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki akizindua Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri Wizara ya Katiba na Sheria Angellah Kairuki baada ya kuzindua Kijitabu cha “Mwongozo wa Utawala Bora” uliofanyika makao makuu ya Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) mtaa wa Luthuli leo jijini Dar es Salaam.


No comments:

Post a Comment