TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 28 November 2013

Matembezi ya Dar mpaka Moro yazinduliwa

Mratibu wa matembezi hayo Matukio Chuma (wa pili kulia) akiongea na waandishi wa habari kwenye ukumbi wa Idara ya habari (MAELEZO), kuhusu   matembezi yajulikanayo kama, Matembezi ya Nchi Yangu Wajibu Wangu, yanayo tarajiwa kuanza, Januari 11-2014 kuanzia jijini Dar es Salaam hadi Mkoani Morogoro. Matembenzi hayo ya kilomita 200,  yatachukua siku kumi 10, lengo likiwa ni  kuhamasisha kila Mtanzania kuamua kuchukua hatua kujikwamua kimaisha. (Wa kwanza kushoto) ni
Mratibu wa matembezi hayo Carren Mgonja.

Waandishi wa habari wakishuhudia uzinduzi huo.

No comments:

Post a Comment