TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday, 29 November 2013

NMB yazindua Business Account Plus

NMB Business Account Plus ni akaunti inayoruhusu kutumia kadi ya ATM katika mashine za ATM zaidi ya 500 nchi nzima, kumwezesha mteja kupata huduma ya ‘overdraft’ kusaidia biashara yake kwenda vizuri, ina gharama nafuu za uendeshaji, inamwezesha kupata statimenti ya bure ya kila mwezi, kufungua  akaunti kwa kiwango nafuu na aweze kupata huduma ya hundi inayotambulika na benki nyingine.

1Afisa Mkuu wa Fedha wa NMB, Waziri Barnabas wakipeana mkono na mwenyekiti wa kituo cha biashara Mwanza (NMB Business Club) baada ya uzinduzi wa NMB Business Account Plus. wakishuhudia kutoka kulia ni  Mkuu wa kitengo cha Bishara wa NMB, Filbert Mponzi na Meneja wa NMB Kanda ya Ziwa, Straton Chilongola Sehemu ya wafanyakazi wa NMB waliohudhuria uzinduzi huo uliofanyika katika kituo cha Biashara Mwanza (NMB Business Center) wakiwa katika picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment