TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday, 1 November 2013

Push Mobile yakabidhi Vitz mbili za tamasha la fiesta

Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya Push Mobile Media Limited, Rugambo Rodney (kushoto) akikabidhi funguo ya gari kwa mmoja wa washindi wawili wa promosheni ya fiesta, Godfrey Michael (kulia), mkazi wa Keko Magulumbasi jijini Dar es Salaam. Michael alishinda Vitz yenye thamani ya sh milioni 8.5. (Na Mpiga Picha wetu).

Meneja Masoko na Mauzo wa kampuni ya Push Mobile Media Limited, Rugambo Rodney (kushoto) akikabidhi funguo ya gari kwa mmoja wa washindi wawili wa promosheni ya fiesta, Godfrey Michael (kulia), mkazi wa Keko Magulumbasi jijini Dar es Salaam. Michael alishinda Vitz yenye thamani ya sh milioni 8.5. (Picha na Mpiga Picha wetu).

No comments:

Post a Comment