TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 4 November 2013

Shindano kumsaka mama Shujaa wa chakula lazinduliwa

Balozi wa Oxfam na mmiliki wa wavuti ya 8020 fashion akizungumza kwenye uzinduzi wa shindano la Mama Shujaa wa chakula kupitia blogs lililo chini ya kampeni ya Grow.

Balozi wa Oxfam Shamim Mwasha kushoto akiwa na Meneja Ushawishi na Utetezi wa Haki za Kiuchumi wa Oxfam Mwanahamis Salimu (Kulia) wakizungumzia  shindano la mama shujaa wa chakula kupitia blogs.

No comments:

Post a Comment