TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Saturday, 11 January 2014

Ariel Sharon afariki dunia.

Aliyekuwa waziri Mkuu wa Israel, Ariel Sharon amefariki akiwa na umri wa miaka 85.

Alikuwa katika hali ya umahututi kwa miaka nane tangu mwaka 2006.
Ariel Sharon (Picha na Bbc Swahili)

No comments:

Post a Comment