TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Friday, 17 January 2014

Mazoezi ya Coastal Union huko Oman

 Kocha wa magolikipa timu ya taifa Oman, akiwapa mazoezi walinda mlango wa Coastal Union, Shaaban Kado na Said Lubawa leo asubuhi katika uwanja wa Seeb, jijini Muscat.

  Kocha Yusuf Chipo akipanga magoli makubwa na madogo tayari kwa mazoezi, amesema akirudi Tanzania atatafuta mafundi wa kutengeneza magoli madogo ni mazuri kwa mazoezi.

 Mazoezi ya leo, mtu mmoja mpira mmoja, lazima watazania tuamke, vifaa vya michezo ndiyo roho ya mafanikio.

  Kocha wa magolikipa timu ya taifa Oman, akiwaelekeza jambo kina Lubawa asubuhi hii.
 
 Mbwana Hamis Kibacha, akirudisha pasi katika mazoezi asubuhi hii.

 Ally Nassor 'Ufudu; na Ayoub Semtawa wakiwa mazoezini asubuhi hii.

 Othman Abdullah 'Ustadh', akimpa upaja Ayoub Masoud mazoezini asubuhi hii.

Yayo Kato akifunga bao katika magoli madogo yaliyosifiwa na mwalimu Chipo asubuhi hii

Picha na Blog ya Coastal Union

No comments:

Post a Comment