TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday, 12 October 2015

Taifa Stars yatua Dar

Wachezaji wakiwasili kutoka Malawi walikokuwa na mechi ya kufuzu kombe la dunia dhidi ya Malawi iliyochezwa jana kwenye uwanja wa Kamuzu Banda. (Picha ni kwa hisani ya Bin Zubeiry)

No comments:

Post a Comment