TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday 10 April 2012

DK. BILAL AONGOZA WAOMBOLEZAJI KWENYE KUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Wasanii wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa marehemu Steven Kanumba wakiwasili katika viwanja vya Leaders Cluba kwa ajili ya wananchi na viongozi mbalimbali kuweza kuaga kwa mara ya mwisho

Makamu wa Rais Dk. Gharib Bilal pamoja na viongozi wenzake wakiaga mwili wa marehemu Steven Kanumba kwa mara ya mwisho  katika viwanja ya Leaders Club

Mheshimiwa Joseph Mbilinyi anayefahamika kama 'Sugu akiaga mwili wa marehemu Steven Kanumba'

No comments:

Post a Comment