TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday 10 April 2012

WAOMBOLEZAJI WAKIWEMO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS KUUAGA MWILI WA MAREHEMU STEVEN KANUMBA

Kikundi cha watu wakiimba nyimbo za maombolezo katika viwanja vya Leaders Club

Mama wa marehemu Kanumba akisindikizwa kwenda kuuaga mwili wa mwanaye kwa mara ya mwisho katika viwanja vya Leaders Club jijini Dar es Salaam

Mdogo wa Steven Kanumba akisindikizwa kuuaga mwili wa kaka yake marehemu Steven Kanumba




Source: Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment