Mahakama kuu ya Mkoa wa Arusha
imemvua Ubunge aliyekuwa Mbunge wa Arusha Mjini kupitia tiketi ya Chama cha
CHADEMA GodBless Lema asubuhi ya leo
Uamuzi huo unatokana na kesi ya
kupinga matokeo iliyokuwa imefunguliwa dhidi ya God Bless Lema ambapo ilikuwa
ikiendelea mkoani humo
No comments:
Post a Comment