TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 18 April 2012

Kundi la vijana Koko Beach wakionyesha mchezo wa kamari ili kuwavutia watu

Kundi la Vijana katika eneo la Koko Beach wakiwa na meza yao kwa ajili ya kueendesha mchezo wa kamari, mchezo huo ni hatari kama huujui kwasababu umeshaliza wengi sio tu kwa upande wa Tanzania bali pia kuna watu duniani wamejinyonga kwasababu ya mchezo wa kamari.


No comments:

Post a Comment