TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday, 18 April 2012

Wananchi wa Kigamboni wateta na Mbunge wao kuhusu upimaji viwanja

Mbunge wa Kigamboni Faustine Ndungulile aliyesimama akiwa amewageukia wananchi wa Kigamboni kuzungumza nao kuhusu malalamiko yao dhidi ya kutakiwa kupima viwanja vyao ikiwa ni mpango wa serikali wa kutaka kujenga Kigamboni ili hatimaye kuwa mji mpya

Wananchi wa Kigamboni wakiwa wamekaa chini kusikiliza kwa makini maelezo wanayopewa na Mbunge wao Faustine Ndungulile juu ya wananchi  kuruhusu upimaji wa  viwanja ili kujenga mji huo wa Kigamboni

No comments:

Post a Comment