TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Monday 16 April 2012

SEND OFF YA SUZAN YAPENDEZA SANA

Suzan Saimon kushoto akiwa na mpambe wake Emiliana Gabriel katika send off ya Suzan iliyofanyika Uchira Moshi, Mkoani Kilimanjaro

Suzan na Emiliana wakiwa kwenye pozi la picha

Wadogo zake Suzan wakitumbuiza kwenye Send  of f ya Suzan

Suzan, Elimiana na mashemeji

Keki aina ya Ndafu ikiwa inasindikizwa sehemu husika kwa ajili ya Suzan

No comments:

Post a Comment