TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday, 2 May 2012

Dk. Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi

Wafuasi wa Chama cha Mapinduzi wakifurahia mara baada ya Mbunge wao Dk. Makongoro Mahanga kushinda kesi ya uchaguzi

Mbunge wa CCM jimbo la Segerea Dk. Makongoro Mahanga akizungumza mara baada ya kushinda katika kesi ya uchaguzi iliyokuwa ikimkabili. Fred Mpendazoe ambaye ni mwanachama wa Chadema ameshindwa katika kesi hiyo

No comments:

Post a Comment