TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 2 May 2012

Wafuasi wa Chadema waandamana kupinga ushindi wa Mahanga katika kesi ya uchaguzi

Wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wakiandamana baada ya mgombea wa Chama hicho Fred Mpendazoe kushindwa katika kesi ya uchaguzi. Mbunge wa Segerea Dk. Makongoro Mahanga ndiye aliyeibuka na ushindi


Wafuasi wa Chadema wakielekea Makao Makuu ya CCM huku wakiimba nyimbo zao kupinga CCM baada ya kushindwa katika kesi ya uchaguzi.

No comments:

Post a Comment