TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Wednesday 9 May 2012

KARIBU TUJADILI PAMOJA

Tafiti zinaonyesha kuwa wazalishaji wakubwa wa mazao ya biashara ni wanaume na wanawake ni wazalishaji wakubwa wa mazao ya chakula, licha ya wanawake kuzalisha chakula kwa wingi tafiti zinaonyesha kuwa bado ni maskini unafikiri ni kwanini wanaonekana ni maskini? Nini maoni yako?












 



 



 



No comments:

Post a Comment