TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Thursday, 9 August 2012

Professa Mahalu ashinda kesi dhidi ya serikali


Aliyekuwa Balozi wa Italia Professa Costa Mahalu na Ofisa Tawala wake Grace Martini wameshinda kesi iliyokuwa ikiwakabili dhidi ya serikali. Hukumu imetolewa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Professa Mahalu pamoja na Grace Martini walishtakiwa na serikali kwamba wamehujumu uchumi wa zaidi ya euro milioni mbili.

No comments:

Post a Comment