TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 9 October 2012

Jaji Wariba azungumza na waandishi wa habari kuhusu kumalizika kwa awamu ya pili

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba (katikati) akizungumza na waaandishi wa habari leo jumanne tarehe 9. Oktoba, 2012 (hawapo pichani) kuhusu kumalizika kwa awamu ya pili ya kazi ya ukusanyaji wa maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya na kuanza kwa awamu mpya ya tatu iliyoanza juzi jumatatu tarehe 8.Oktoba, 2012 katika mikoa 9 nchini. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti Jaji mkuu mstaafu Augustino Ramadhani.

No comments:

Post a Comment