TANGAZA NASI LEO 0712709630,0756631636 BARUA PEPE gmkojera@gmail.com

Tuesday, 9 October 2012

Semina za Jinsia na Maendeleo


!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!GDSS!!!!

SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO

UNAKARIBISHWA KATIKA MFULULIZO WA SEMINA ZA JINSIA NA MAENDELEO (GDSS) KILA JUMATANO, AMBAPO WIKI HII

TUTASHEREKEA SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE NA JOPO LITATOA MADA IFUATAYO

MADA: TOKOMEZA NDOA ZA UTOTONI; KUZA VIPAJI VYA WASICHANA

Lini: Jumatano Tarehe 10/10/2012

Muda: Saa 09:00 Alasiri – 11:00 Jioni

MAHALI: Viwanja vya TGNP, Barabara ya Mabibo Karibu na Chuo cha Taifa Cha Usafirishaji Mabibo Sokoni

WOTE MNAKARIBISHWA

 

No comments:

Post a Comment